Sunday, January 4, 2015

BREAKING NEWS: MTOTO WA RAILA ODINGA AFARIKI AKIWA NYUMBANI KWAKE LEO ASUBUHI

Fidel Odinga ambaye ni mtoto wa kiongozi wa muungano wa CORD nchini Kenya Raila Odinga, amekutwa akiwa amekufa leo asubuhi nyumbani kwake eneo la Karen.

Mwili wa mtoto huyo wa Raila Odinga, umekutwa ukiwa kitandani kwake, na kuchukuliwa kwenda kuhifadhiwa Lee Funeral Home.

Polisi Jijini Nairobi wamesema bado haijafahamika ni nini kilichopelekea kutokea kwa kifo hicho.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI