STAA wa muziki toka majuu BEYONCE amepost picha hii ambayo imewashangaza wengi ikiwa imeandikwa mashairi ya wimbo wa mumewe Jay-Z - 99 problems…but my a** aint one.
Wengi wameupokea tofauti ujumbe huo huku wengine wakihisi ni kuwa amefanya hivyo ili kuendelea kupata headlines katika mitandao na vyombo vya habari kutokana na ukimya alionao kwa sasa.
Hivi karibuni mumewe ambaye ni Jay-Z amenunua kiwanda cha kutengeneza Champagne ambacho amekuwa ni mdau kwa siku nyingi yenye lebo ya 'Ace of Spades'
0 comments:
Post a Comment