Tuesday, November 11, 2014

SHULE YA MSINGI YA FILBET BAY ILIYOPO KIBAHA MKOANI PWANI YAUNGUA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO *PICHAZ*


Hapa ni wanakijiji wanao kaa kalibu na shule hiyo wakishuudia shule iyo ikiwaka moto uku wakishindwa kutoa msaada wowote kutokana na gari la zima moto la mkoa wapwani kushindwa kufika kutokana na kudai kuwa ni bovu

Mnamo majira ya saa8 usiku wa kuamkia leo Shule ya msingi iyo iliyopo kibaha mkoani pwani maeneo ya kwamatiasi usiku wa kuamkia leo imeungua moto yote.
chanzo ikiwa ni shot ya umeme iliyo jitokeza kwenye chumba kimoja cha madarasa hayo na kusababisha madarasa 14 yote kuwaka moto ila cha kumshukulu mungu kuwa wanafunzi wote walipona ila vitu vyao vyote vimeteketea kwa moto blog hii ya africanmishe.blogspot.com ilipo mtafuta mwenyewe MR BAY ili aweze kuzungumzia tukio ili alisema ni kweli kuwa shule imeungua na na vitu vingi vimeungua ila ni mapema sana kutaja thamani ya vitu vilivyo ungua mpaka tutakapo kaa na kujua ni vitugani na vitu gani 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI