Wednesday, November 12, 2014

KHANGA PARTY KUFANYIKA 29, NOVEMBER MWAKA HUU

JUMAMOSI ya Nov 29, 2014 Safari Carvinal Kawe Dsm kutakuwa na Party ya Khanga ambayo ambapo kutakuwa na live band kiingilio kikiwa ni buku 10000/= tu. Dress Code Khanga  don’t miss imeandaliwa na Mbunifu Asia Idarous. Kutakuwa na red carpet.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI