Monday, November 3, 2014

AVRIL AVUNJA UKIMYA KWA KUACHIA WIMBO MPYA 'NIKIMUONA' @AVRILKENYA

AVRIL avunja ukimya leo kwa kutoa wimbo mpya alioupa jina 'Nikimuona' Wimbo huu unatoka 03/10/2014, utaanza kusikika Kenya na baadae kusambazwa Africa Mashariki.
Nyimbo za Avril za awali ni pamoja na Mama, Kitu Kimoja na Chokoza.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI