Monday, November 3, 2014

RIHANNA AUNGANA TENA NA MASHABIKI WAKE WANAOTUMIA INSTAGRAM, BAADA YA KIMYA KIREFU CHA MIEZI SITA

BAADA ya miezi sita ya Rihanna ameungana tena na mashabiki wake wanaotumia mtandao wa Instagram.
Rihanna mwenye watu wanaomfuatilia instagram milioni 13 amerudi instagram na kuweka picha yake hiyo hapo juu ikiwa na ujumbe wa“Hellurrr #badgalback.”

Kurasa yake ilifungwa May 2014 baada ya kuweka picha zake akiwa kifua wazi zilizopigwa kwaajili ya jarida la ufarasa la Lui.Rihanna anatumia @badgalriri

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI