Thursday, September 25, 2014

WEMA SEPETU AWAFUNGUKIA WATUMIAJI WA TECNO NA HUAWEI


wema sepetu aponda
KATIKA hali iliyoshangaza wengi,beautiful onyinye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don’t have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akifanya mahojiano na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI