Friday, September 26, 2014

WAFAHAMU WATOTO WA WAIGIZAJI NA MARAPPER WAKUBWA WA MUZIKI DUNIANI WAKIJIACHIA NA BABA ZAO

Image
Familia ya mwanamuziki T.I kutoka A.T.L akiwa na mkewe pembeni yake  na watoto wake.Image
Rapper wa Young Money akiwa na mtoto wake wa kiume Dwayne.
Image
Rapper wa Young Money Lil Wayne akiwa na mwanae Regginae pamoja na mwanzilishi wa kundi hilo Brian Adams akiwa na mwanae Bria.
Image
 Image
Rapper Fabolous akiwa na mtoto wake wa kiume Johan Jackson pamoja na mkewe Emmily.
Image
Jay Z akiwa na mtoto wake wa kiume
Image
Mtoto wa Jay Z wa pili Blue Ivy ambae amezaa na mkewe Beyonce Knowles.
Image
Producer na Rapper Swizz Beats akiwa na mkewe Alicia keys na mtoto wao Egypt
Image
Image
Mtoto wa Rapper mkongwe Nas Escober akiwa na mama yake ambaye ni mwanamuziki Kellis
Image
Boss wa Bad Boys na ambaye pia ni mwanamuziki P. Diddy akiwa na family yake pamoja na mkewe Kim Foster wakisherekea Hall of Fame aliyopata mwanamuziki huyo.
Image
Image
Mtoto wa Rapper 50 Cent Marquise
Image
Rapper kutoka Miami, Florida Rick Ross 'Rozzay' akiwa na Mwanae.
Image
Familia ya mchekeshaji maarufu na mcheza sinema Eddie Murphy akiwa na watoto wake.
Image
Rapper snoop dogg akiwa na mwanae Corde Calvin Broadus.
Image
Image
Mwanamuziki aliyeruhusiwa kuvuta bangi hadharani Snoop Lion a.k.a Snoop Dizzle akiwa na familia yake katika picha tofauti.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI