HAWA ni baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbali kutokana na sifa zao tofauti tofauti.
Ange Paul Kagame.
Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989.
Faith Sakwe Jonathan.
Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan.
Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu.
Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo.
Nyepudzayi Bona Mugabe.
Ana miaka 24.
Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe.
Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii.
Amefunga ndoa hivi karibuni.
Sifa Joseph Kabila.
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila.
Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
Ngina Uhuru Kenyatta.
Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta.
Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.
Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata.
Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
Diana Karuguire Museven
Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven.
Amefunga ndoa.
Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa.
0 comments:
Post a Comment