Monday, September 29, 2014

BREAKING NEWZZZ..... MHE.SUGU NA MKEWE FAIZA WAACHANA LIVE...MKEWE ALIA SANA KWA UCHUNGU...AANDIKA UJUMBE MZITO

Mh. Sugu, Faiza Ally na mtoto wao Sasha
MUIGIZAJI wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CHADEMA Mhe. Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu !.... Kupiia Instagram Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu. Faiza aliandika........

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI