Saturday, August 16, 2014

INSPIRATIONAL NOTE FROM A MOTHER TO HER DAUGHTER!!!

WAZAZI ni watu muhimu sana katika maisha ya mtu yeyote yule, Mama ni mtu pekee ambaye mara nyingi huwa anakua karibu sana na mtoto, muda mwingine kinababa nao hua karibu pia lakini akinamama huwazidi kinababa.
Emelda Mwamanga na moja kati ya wajasiriamali ambao wamejaaliwa kupata matunda katika maisha yao.
Emelda na Mwanae.
Aliandika ujumbe huu kwenda kwa mwanae:
"When you grow up. I want you to do bigger things than mum could ever do!!!! I see the stars in your eyes and it's a promise of a great star inside of you.  May the Lord guide you my daughter. I want you to grow and love and help people.....Be kind, be inquisitive, be aggressive, be hard working and work SMART.... have Goals and Never Give UP... Lord is your Savior, so look up to him
always.... Mummy Love you!!!"

Photocredits:emeldamwamanga.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI