Kocha wa Tim ya Zanzibar Petroleum LTD Ali Hakiba Hassan aliyeshika kombe na kikosi kamili cha Zanzibar Petroleum kilicho twaa ubingwa wa Kombe la Mazingira kwaka 2014/2015.(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).
Meneja wa Zanzibar Petroleum LTD Altaf Jiwan akiwapongeza wachezaji wake kwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Mazingira lililoandaliwa na Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kwa kuifunga tim ya Wizara ya Fedha kwa mikwaju ya penanti 4 kwa 3.Sherehe hizo ilifanyika Ofisini kwao Mtoni Zanzibar
Meneja wa Zanzibar Petroleum LTD Altaf Jiwan akionyesha furaha yake kwa kuletewa kombe (kulia) kocha wa tim hiyo Bwa. Ali Hakiba Hassan.
Wachezaji wa Tim ya Zanzibar Petroleum LTD na wafanyakazi wa Kampuni hiyo katika picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment