Picha mpya zinazosumbua mitandaoni za wanandoa hawa wakiwa katika honeymoon!!!
MDA mwingine usupastaa shidaah, sasa kama hivi hawa watu popote waendapo maisha yao yapo wazi kwa kadamnasi, kwani hawawezi hata ku** bila wapiga picha kujisogeza,
Na nikwambie tu mpenzi msomaji, mapaparazi wa ulaya ni shida balaa kwani wakiamua kunasa jambo watalisaka mpaka walipate tu,
Hizi ni picha mpyaa kabisa zinazosumbua mitandaoni kwa sasa za mwanadada Kim Kardashian na kwa mbaali unauona mzee mzima Kanye akiwa kama anaelewa hivi kitu kinachoendelea,,
Yani kama anajua kuwa mapaparazi wako upande gani na wanachukua picha zao, naye hana shida, amabaki kutulia tu kwani anaujua mziki wa mapaparazi hao, kuwa ni wapekuzi na wafukunyuku, yaaani wanafukunyuaaa mpaka wapate wanachokitaka.
Mmmmh hayo ndio maisha ya masupastaa wa nje, hawaigiziii, ndio maisha yao sasa ukiona hivi, angalia tu mitandaoni utaona wabongo wanavyoanza kuiga hasa hasa wale waaaa… aaaah siwataji utaona picha zao wakiwa mitaondi eti ndio Kim na Kanye wa Bongo.
Acheni hizo za kuigaaa… Aaaah!
Jus live your life bhana!!!
0 comments:
Post a Comment