Sunday, June 15, 2014

DUH HII KALI, CHEKI MAMA YAKE DIAMOND PLATNUMZ AKICHEZA KITORONDO NA MWANAE NI SHIDAAAH!!

WENGI watakuwa wameshaisikia hit mpya ya Diamond Platnumz ambayo ilivuja, hit hiyo inaitwa KITORONDO , Ngoma hii aijatoka bado ipo jikoni bado au labda Diamond mwenyewe ajaamua kuiachia rasmi ngoma hii amabayo kwa uchunguzi wangu tu nimegundua kuwa watu wengi wanaipenda nyimbo hii inagawa bado aijatoka rasmi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI