Monday, June 16, 2014

USWISI YAICHAPA ECUADOR 2-1, REKODI AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU 1934

Hakuna kuremba: 
Winga wa Ecuador, Antonio Valencia akiwa a einua mguu juu kupiga mpira dhidi ya beki wa kushoto wa Uswsi, Ricardo Rodriguez

USWISI imetoka na nyuma na kushinda maBao 2-1 dhidi ya Ecuador katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia, mabao yote yakifungwa na wachezaji waliotokea benchi mjini Brasilia.


Admir Mehmedi alikuwa amedumu uwanjani kwa sekunde 121 tu wakati amnaifungia Uswsi bao la kusawazisha kufuatia Enner Valencia kuwafungia Ecuador la kuongoza.


Bao la Seferovic pia lilihakikisha hakuna safe katika michuano hiyo hadi sasa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1934.

UNGANA NASI KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI