Monday, June 16, 2014

WEMA NA DIAMOND ZIARANI SONGEA: KATIKA KILI MUSIC TOUR!!!


 Mahaba mahabaniiii aisee, yani kama njiwa vile hawa watu hawaachiani… Safi kama ni kweli kuna mapenzi ya dhati, isije ikawa tu ni maigizo na kutaka headlines tu magazetini…!
Sina mengi mie,, Ni hayo tuu! 

UNGANA NASI KWA LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA
https://www.facebook.com/pages/Ulimwengu-wa-Habari/280391145464240

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI