Katika kuona kuwa mambo hayaendi, wafanyabiashara wa soko lililoungua la mchikichini wameamua kuanza kujenga mabanda yao ili kuendelea kutoa huduma kwa wateja wao ambao kutokana na moto huo wamekosa huduma kwa muda.
Mtandao huu wa ULIMWENGU WA HABARI unawapa pole wafanyabiashara wote waliofikwa na kadhia hiyo.
0 comments:
Post a Comment