Saturday, June 14, 2014

KWA VITUKO HIVI VYA DADA HUYU MITANDAONI, DAVIDO ANA KAZI AISEE!!!

Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria huenda akarudi tena kwa mpenzi wake wa zamani baada ya kuona picha za mrembo huyo ambaye sasa anaonekana kuwa mrembo zaidi ya kipindi yuko nae penzini.  
Davido alishinda taji la Best Male Artist tuzo za katika MAMAs sasa ni kama anategwa na mrembo huyo ambaye inasemekana kuwa amekuwa akipiga picha tata na kisha kuziweka katika mtandao wa kijamii wa instagram ili kujaribu kumvutia,

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI