Wimbo huu miezi kadhaa iliyopita uliripotiwa kuvuja ambapo ni wimbo ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz, usikilize hapa ukiwa umeshakamilika unaitwa Mdogo Mdogo.
Enjoy!!!
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
0 comments:
Post a Comment