Thursday, June 12, 2014

TANZANIA YAWASILI KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Tunawakilisha; Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi wa pili kushoto akiwa na rais wa zamani wa shirikisho hilo, Leodegar Tenga mjini Sao Paulo, Brazil kushiriki Mkutano Mkuu wa 64 wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) jana. Brazil pia ni wenyeji wa Kombe la Dunia mwaka huu. Wengine kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Mgoyi na kushoto ni katibu wa shirikisho hilo, Celestine Mwesigwa
Kutoka kulia Mwesigwa, Malinzi na Mgoyi

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI