Mtu Pesa: Kocha wa zamani wa England, Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mea makocha wote wa timu za taifa za nchi zote zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil
Hodgson analipwa Pauni Milioni 3.5 kwa mwaka
Alama hii £ ina maana Paundi.
0 comments:
Post a Comment