Mpenzi msomaji wa mtandao huu wa ULIMWENGU WA HABARI, Hii kiukweli imevunja rekodi kabisaaaaaaaaa!!!
Ukiachana na stori zoooote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana, kiboko cha yote mtu aliyezikwa katika kaburi lililotengenezwa kama chumba cha kulala kilicho na samani tofauti za thamani kubwa sana kama vile flat screen, dreassing table, kitanda na vitu vingine vingi mpaka mvinyo, perfumes na vingine vingi, hii ndio top katika dunia hii, angalia picha zaidi za tukio hilo…
0 comments:
Post a Comment