Saturday, June 14, 2014

TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA DODOMA

Diamond Platnumz akiwa katika pozi pamoja na baunsa wake
UZINDUZI wa video ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania iliyoimbwa na wasanii wakubwa 50 kutoka pande zote za Tanzania.
 Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Wasanii Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Weusi, Hadija Kopa, TMK Wanaume na Yamoto Band na wengine wengi watatumbuiza
Mzee Chilo akiwa na Diamond

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI