Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani.
Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika “Studio!! @chrisbrownofficial @__bu x Tyga!! #DisturbingLA!
0 comments:
Post a Comment