KATIKA ufunguzi wa kombe la dunia la FIFA huko nchini Brazil watu wengi walikuwa na shauku ya kumuona mwanadada Jenifer Lopez ambaye hapo awali alitia ngumu kuhudhuria katika mashindano hayo, lakini badaye akaachia na kuamua kuwataarifu mashabiki wake kuwa atahudhuria…
Wengi walishangazwa na uamuzi huo wa ghafla tena.
Wadadisi wa mambo wanasema kuwa huenda mwandada huyo aliitumia fursa hiyo kurudi tena katika headlines kwani ni kwa muda sasa amekuwa kimya.
Baada ya hilo mwanadada huyo akaachia picha hizi katika fotoshoot kwaajili ya picha za Billboard
0 comments:
Post a Comment