Saturday, June 7, 2014

SPIKA MAKINDA AFUNGUA GYM YA MAZOEZI YA BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE

  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika GYM ya Bunge baada ya kuizindua rasmi katika viawanja vya Bunge. Kulia ni mfanyakazi wa GYM hiyo Ndg. Ekarist Liheta akitoa maelezo kwa Mhe. Spika. Gym hiyo Gym ya Mazoezi katika Viwanja vya Bunge. Gym hiyo itatumiwa na Wabunge , Wafanyakazi pamoja na Wananchi wa Nje watakaopenda kufanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya zao za Miili yao.
 Spika akipima uzito kabla ya kujisajiri katika GYM hyo.
 Muonekano wa Jengo litakalo  na GYM ya Bunge kwa nje katika viawanja vya Bunge
 Meneja wa GYM hiyo Bi. Suzan akitoa neno la Shukrani kwa uongozi wa Bunge pamoja na Spika baada ya Ufunguzi rasmi.
Mkurugenzi wa GYM hiyo Ndg. Omar Ige akimkabidhi Mhe. Spika vifaa vya mazoezi tayari kwa kuanza mazoezi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI