Monday, May 26, 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AHUDHURIA IBADA UA UMWEKA WAKFU ASKOFU WA MORAVIAN JIMBO LA RUKWA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha askofu huyo iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25, 2014. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI