Thursday, April 17, 2014

"PIGA UA SISI TUNAENDELEZA ULABU" MAFURIKO KITU GANI!!?

Hii ni moja kati ya picha kali za historia ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini na mafuriko, ambapo jamaa hawa kama wanavyoonekana, maji yakiendelea kusogea kufunika viti, lakini wamejipa moyo na kuelendelea kupiga ulabu kama kama kama dawa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI