Saturday, April 26, 2014

ILIVYOKUWA KATIKA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KWENYE UJENZI WA AWAMU YA TATU YA UWANJA WA KIMATAIFA WA JULIUS K. NYERERE, DSM


 Rais Kikwete akipeana mikono na Balozi 
wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks alipowasili kuweka jiwe la msingi la ujenzi 
wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa 
wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye 
eneo la Uwanja huo. Kulia ni Waziri wa 
Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe.
 Rais Kikwete akisalimiana na 
Naibu Waziri wa Uchukuzi, 
Dk.Charles Tizeba
 Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge 
wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti 
wa Kamati ya Bunge ya Uchukuzi 
Mhe. Peter Serukamba
Rais akisalimiana na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa
 Rais Kikwete akisalimiana na Diwani wa 
Kata ya Kipawa, Mhe Bonnah Kaluwa
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu 
Katibu Mkuu  wa Wizara ya Uchukuzi, 
Mama Monica Mwamunyange.

Rais Kikwete akisalimiana na mmoja 

wa maofisa waandamizi wa mamlaka 
ya viwanja vya ndege

 Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu 
pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini 
Mhe Jaap Frederiks na Waziri wa Uchukuzi 
Dkt Harrison Mwakyembe

 Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya 
Viwanja vya ndege wakiwa wameupuna 
kwenye hafla hii
 Burudani
 Wadau mbalimbali akiwemo mkongwe 
Paul Lyimo (kuli) kwenye hafla hii
 Taswirazzz
 Wadau
 Mkurugenzi Mkuu  Kampuni ya 
Kuhudumia ndege, abiria na mizigo 
ya  Swissport Tanzania Tanzania 
Limited, Gaudence Temu (kulia) na 
wadau wengine
 Sehemu ya wadau
 Wadau mbalimbali
 Maofisa mbalimbali wa huduma za 
viwanja vya ndege
 Wadau
 Wadau
 Rais Kikwete na viongozi wengine 
katika meza kuu
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya 
Viwanja vya Ndege Tanzania, 
Mhandisi  Suleiman Suleiman 
akikaribisha wageni
 Wafanyakazi wa kampuni ya 
ujenzi wa uwanja wa ndege
 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
 Wajenzi na Wafanyakazi wa 
uwanja wa ndege
 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege 
na wajenzi

















 Wadau wa Kipawa
 Wadau wa Kipawa na vitongoji vyake
 Wadau wa Kipawa
 Balozi wa Uholanzi nchini 
Mhe Jaap Frederiks 
 Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison 
Mwakyembe akimkaribisha 
mgeni rasmi
 Rais Kikwete akihutubia
 Jinsi Terminal III ya Uwanja wa 
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere utavyoonekana baada ya ujenzi 
wake kukamilika mwaka 2016


0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI