Tuesday, April 22, 2014

ANGALIA WAUMINI WA DHEHEBU LA ORTHODOX WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA JIJINI DAR

 Balozi wa Urusi anayefanya kazi hapa nchini  Alexander Rannikh, akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu la Orthodox, Askofu Dimitrios, wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi. Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh, akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios baada ya kumalizika kwa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.
 Balozi wa Urusi anayefanya kazi hapa nchini  Alexander Rannikh, akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu la Orthodox, Askofu Dimitrios, wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.
Baadhi ya Waumimi wa Dhehebu ya Orthodox  wakiwa katika Ibada ya kusherehekea  ufufuko wa Yesu Kristu (Pasaka) iliyofanyika katika Kanisa hilo lililpo eneo la Red Cross jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI