MKE wa mchezajiwa Robin Van Persie ambaye saivi anaichezea klabu ya Fenerbache, Bouchra amesema kwamba mume wake anaelekea kupona kabisa jicho lake ambalo aliumia wakati wa mechi dhidi ya klabu yake ya Fenerbache na Akhisar siku kadhaa zilizo pita.
Bouchra alisema, “Kwa sasa yupo poa, mwanzoni alikuwa na muonekano wa bondia!” aliwaambia waa ndishi.
0 comments:
Post a Comment