Monday, November 9, 2015

RAIS DK. MAGUFULI AMJULIA HALI HELLEN KIJO BISIMBA - AGAKHAN HOSPITAL

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt. Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI