RAIS JAKAYA Kikwete amesema kuwa tarehe 5, Mwezi November atakuwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Rais ameyasema hayo alipokuwa akipiga Kura leo katika jimbo la Chalinze - Msoga ambapo aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
0 comments:
Post a Comment