Wednesday, September 2, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA EAC JIJINI ARUSHA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu kadi mpya ya Selcom ya kufanyia huduma ya manunuzi na malipo mbalimbali kutoka kwa Meneja wa Mradi wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Gallus Runyeta, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha. Kadi hiyo inatarajia kuzinduliwa rasmi mwezi Oktoba mwaka huu. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Selcom, Sabrina Munir. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu hudua za SSRA kutoka Afisa Mawasiliano wa SSRA, Sarah Kibonde,  wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo, baada ya uzinduzi wa Kongamano hilo.
Picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI