Thursday, January 1, 2015

WATU 35 WAFARIKI DUNIA WAKISHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA UKO NCHINI CHINA

Mwaka Mpya: Maafa China 35 wafariki.
SHEREHE za kuupokea mwaka mpya 2015 zimeguka kuwa majonzi baada ya watu thelathini na watano kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano wakati wakiiupokea mwaka mpya.
Maafa hayo yametokea katika mji Shanghai ambapo maelfu ya watu walikuwa wamekusanyika ili kuupokea mwaka mpya.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI