Thursday, January 1, 2015

MSANII COSSY ORJIAKOR ATANGAZA AINA YA BROTHERMEN ANAYEMKUBALI

Cossy Orjiakor.
DIVA huyu muigizaji ambaye kwa sasa ameamua kuwa muimbaji amesema wazi kwamba mashabiki wake hawataki awe mwenyewe na hivyo kutaka awape huduma za sugar mummy.
Alisema kutokana na wanaume kujichechua kwake ametanga masharti.
Amesema yule anayemtaka awe sugar mummy wake ni lazima akubali kuwa mpishi mzuri,mfanyakazi mzuri wa ndani na dreva.
Alisema alishaaawaambia baadhi yao wampelekee jinsi wanavyomudu jiko na nini wanakipika lakini hakuna mpaka sasa aliyepeleka picha ambazo yeye anazihitaji.
Kama wangelipatikana ningelipenda kuwa nao watatu, ningewaajiri na kuwapa mshahara alisema bibie.
LIKE PAGE YETU KUFUATILIA MATUKIO ZAIDI.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI