MSANII nguli wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond' na rafiki yake wa kike mganda Zari Hassan wamezuru makumbusho ya taifa ya mauaji ya kimbarti nchini Rwanda.
Diamond yupo mjini Kigali Rwanda kwaajili ya show kadhaa za mwaka mpya ikiwa ni mwaliko maalum wa East Africa Promotion
Wawili hao wakiwa katika jumba hilo waliweza kujionea pichja mbalimbali za mauaji hayo jambo ambalo lilipelekea Zari kububujikwa na machozi kutokana na picha hizo na maelezo ya mauaji ya 1994 ambayo yaligharimu uahai wa watu zaidi ya 500,000.
“Everyone has a breaking point…. I was so touched,” aliandika mrembo huyo kwenye picha inayomuonesha akilia. “Women and children were raped then killed…. sad story. God bless you more Rwanda,” aliandika kwenye picha nyingine.
Diamond alitumbuiza katika part ya Vibe Party katika viwanja vya Expo katika mji wa Gikondo na pia alitaraji kutumbuiza katika uwanja wa Amahoro.
Matembezi ndani ya jumba hilo yakiendelea...kushoto ni Meneja wake Mkubwa Fela
Ilikuwa ni mshituko na msngao mkubwa juu ya matukio waliyoyaona.
Diamond na Zari wakiwa katika jumba hilo.
0 comments:
Post a Comment