UKIISIKIA sauti ya leo ya Ray c huwezi kumtofautisha kabisa na Ray c yule wa kitambo, sauti ile ile na swaga zile zile. Hapa anakwambia Mshum mshum. Huu niwimbo wake wa kwanza tangu aamue kurudi katika game baada ya kukaa kando kwa muda sasa.
Saturday, December 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
NYOTA wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID wameingia katika mtafaruku mkubwa kupitia mtandao wa Instagram baada ya kupishana ka...
-
MWANADADA kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi ...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
-
Historia Yake Fupi Hii hapa; Rachel alizaliwa Mkoani Ruvuma kwenye wilaya ya Songea na kupata elimu yake katika Shule ya msing L...
0 comments:
Post a Comment