Saturday, August 2, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MBEYA

PG4A8000
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano la uwekezaji  la Nyanda za Juu kusini  kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya August 1, 2014.
PG4A8077
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kushoto) na Mkuu wa WIlaya ya Wanging’ombe, Esterina Kilasi kutoka kwenye ukumbi  wa Mkapa jijini Mbeya  baada ya kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Nyanda za Juu Kusini August 1, 2014. 
(Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI