1. Mifupa ya samaki huko Montreal, Canada
2. McFries huko Zurich, Switzerland
3. Velvet rope huko Montreal, Canada
4. Peanuts Abbey huko Osaka, Japan
5. Piano huko Spartanburg, South California, Marekani.
6. Rainbow huko Vancouver, Canada
7. Zip huko Baltimore, Maryland, U.S.
8. Pattern huko Santiago, Chile
9. 3D huko Kyrgyzstan
10. Rangi rangi zilizochorwa na Carlos Cruz Diez
11. Mambo huko Madrid, Spain
12. Mr. Proper huko Germany
13. Unyayo huko Montreal, Canada
14. Domino huko Winston-Salem, North Carolina, Magharibi.
15. Zebra huko Mumbai, India
16. Yarn huko Philadelphia, Marekani.
17. Hopscotch huko Baltimore, Maryland, Marekani.
SIKU hizi kuona sanaa za michoro si lazima eti uende katika majumba ya makumbusho ili ufaidi kazi hizi za sanaa, Kama unapata bahati ya kutembelea katika majiji hayo makubwa duniani baasi utashangaa uzuri wa michoro ambayo imechorwa kwa umaridadi mkubwa ikiwaongoza watu kuvuka barabarani.
0 comments:
Post a Comment