Vazi hili lilobuniwa na mbunifu Seth Chernoff na pia staili hii ya kuvaa shati lenye langi nyekundu kiunoni ndio habari ya mjini kwa sasa baada ya mastaa kibao kuanza kuivaa.
Na pia raba kali zilizobuniwa na msanii mwenzake Kanye West zinazojulikana kwa jina la “Nike Air Yeezy Red”
Rihanna nae hayuko nyuma san kwenye Fashion alitupia pia
0 comments:
Post a Comment