Mwandishi wa Global, Gabriel Ng'osha akiwa na mmoja wa makomando wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika maonesho hayo.
Kwa wapenda nguo za Kitanzania banda hili ‘ndilo lenyewe’.
Maonyesho ya magari.
‘Mdori’ wa CRDB Bank ukigawa vipeperushi viwanjani hapo.
Raia wa kigeni wamekuwa wakivutia na maonyesho hayo.
Hapa ni maonyesho ya vitu vya kale, yakiwamo mafuvu ya binadamu na zana za Zama za Kale za Mawe.
Wananchi wakiuliza maswali kwa komandoo wa JWTZ,
Silaha halali kwa wawindaji halali wa wanyama ndizo hizi hapa.
Wananchi wakipozi kwa picha na komando wa JWTZ.
Watoto wakimfuatilia ‘mdori’ wa maziwa aina ya Cowbell.
Na Gabriel Ng’osha
0 comments:
Post a Comment