Friday, July 4, 2014

MAGARI YA MATAJIRI WA IRINGA ASAS NA CHAULA YAPATA AJALI

Gari hili liligongwa kwa nyuma katika barabara ya posta; ni mali ya kampuni ya Asas Gropu of Companies, lilikuwa likiendeshwa na mmoja wa wanafamilia, Twarib Asas
Gari hili ndilo lililogonga gari ya Asas; ni mali ya mfanyabishara maarufu wa vifaa vya ujenzi Chaula
Ilitokea jirani kabisa na mnara wa saa wa Manispaa ya Iringa
AJALI iliyohusisha magari ya wafanyabiashara maarufu wa mjini Iringa imetokea katika barabara kuu, eneo la Bima mjini Iringa.
Ajali hiyo imehusisha magari yanayomilikiwa na kampuni ya ASAS ya mjini Iringa na ile ya Chaula Hardware ambayo nayo ni ya mjini Iringa.
Pamoja na magari hayo kuharibika kiasi, hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo ambayo wahusika walimalizana ki-utu uzima.
frankleonard blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI