MODO matata anayetikisa afrika mashariki kiujumla AMISA MOBETO ametupia picha instagram picha ambayo inaonyesa miguu yake ilivyojaa vizuri na si mironjo kama walivyo mamodo wengi, picha hii ieonekana kuwapagawisha vidume sana kwani imepata like za kutosha tangu alipoitupoitupia komenti usipime.
Duuuh haya bhana!!!
0 comments:
Post a Comment