HAKIKA kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kauli mbiu ama unawezaita ni mikakati kabambe ya kumuinua mwanamke katika nyanja zote; katika jamii, siasa na zaidi kiuchumi.
Kamwe palipo na ukweli uongo hujitenga kwani ni ukweli usiopingika jamii nyingi za kiafrika zimetawaliwa sana na mfumo dume ambapo umekuwa ukitawala katika nyanja hizo zilizotajwa hapo juu.
Mfumo huo kwa sasa unapungua kwa kiasi kikubwa na ni imani ya waafrika na watanzania wengi mfumo huo upotee na uishe kabisa kwani mwanamke hatokuwa kiumbe dhaifu mbele ya mwanaume na haki, usawa, amani na upendo vitatawala kitu kitakacholeta maendeleo.
TAFAKARI: Ni je wanawake wenyewe wanapendana na kujaliana?
Friday, March 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
NYOTA wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID wameingia katika mtafaruku mkubwa kupitia mtandao wa Instagram baada ya kupishana ka...
-
MWANADADA kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi ...
-
Bondia Pacquiao amerejia nyumbani Ufilipino baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega huko Marekani ambapo pamoja na kushindwa Floyd ...
-
RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda...
0 comments:
Post a Comment