Pembe za ndovu ziliokamatwa na Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam maeneo ya Kimara Jijini Dar. |
Jeshi
la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa watuhumiwa
wanne wa nyara za serikali akiwemo mwanamke mmoja, raia wawili wa kenya kwa
vitendo vya ujangili baada ya kukamatwa na meno ya tembo miambili na kumi na
nne (214) zikiwa na thamani ya Tsh. Bilioni 2 milioni moja na 59 elfu laki moja
na 57 kinyume cha sheria.
''Jeshi
la polisi kanda maalumu lilipata taarifa kuwa huko kimara kwa mzee Kenyelaki
kwamba kuna waarifu walikuwa mameficha mali mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyara
za serikali, tulipofika katika hiyo nyumba tukakuta wanaashi wakenya wawili
pamoja na mtanzania mmoja ambae ni mwanamke, katika upekuzi wa nyumba hiyo
vilipatikana vitu mbalimbali vilivyokuwa vimeibiwa kama mafriji, magoro na
nyara.
Wakati
huo huo pia kamanda Kova akatumia kupiga marufuku vikundi vinavyojihusisha
kuwepo kwa tetesi za maandamano yanayotarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi na
Ijumaa kwa waumini wa dini ya kiislamu na kuwepo kwa vipeperushi vinavyoashiria
uvunjifu wa amani.
''Suala
hilo la maandamano halikubaliki saizi na hatuna mazungumzo zaidi katika suala
lolote ambalo litaashiria uvunjifu wa aman, sisi hatuangalii dini, chama,
taasisi au nani anasema, tunachoangalia ni Law and Order,(Sheria na utaratibu)
Alisema Kova.
Mkuu
wa kikosi cha kuzuia ujangiri
0 comments:
Post a Comment