Saturday, November 12, 2016

TID AWASHUKIA CLOUDS FM...ADAI KUWASHITAKI WAMLIPE MILIONI MIA TANO

MWANAMUZIKI TID inaonekana amejiunga na Vita iliyoanzishwa na Lady Jay Dee dhidi ya Radio Clouds FM Baada ya makala moja kutoka huku ikisema kuwa Album ya TID iliyomtoa Sauti ya Dhahabu kuwa alifanywa na Clouds FM
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Haki Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down
Akaongeza Kwa Kuandika
"MY Mentor @majani187 in any other way did you Produced this Song in clouds Fm Studio?....? Mimi nataka kulipwa Haki Yangu siwezi kukubali"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI