Monday, November 7, 2016

TANZIA: SPIKA WA ZAMANI WA BUNGE SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA

SPIKA wa zamani wa Bunge la Tanzania, Samwel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumani alikokua akipatiwa matibabu.


Rais John Magufuli tayari amemtumia salamu za pole Spika wa Bunge Job Ndugai na familia kufuatia msiba huo mzito.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI