MANNY Pacquiao ameibua tetesi kuwa bado anataka pambano la marudio kati yake na Floyd Mayweather kupitia picha iliyopo kwenye koti lake la suti.
Mara ya mwisho pambano la marudiano kati ya mabondia hawa kuongelewa promota wa Pacquiao promoter Bob Arum alisema atahakikisha anafanikisha pambano hili kutokea kwa asilimia 75% ata kama Mayweather hajaonyesha nia yoyote ya kutaka litoke.
0 comments:
Post a Comment