EX wa Angelina Jolie mwigizaji Billy Bob Thornton ’61’ amesema staa huyu anaendelea vizuri hata baada ya kutengana na mume wake Brad Pitt.
Billy Bob Thornton anasema “Yuko powa, sijaongea naye sana, bado sisi ni marafiki wazuri ila ana maisha yake nami nina yangu, na maisha yake hayanihusu“
Jolie ametengana kwa talaka na Brad Pitt September mwaka huu. Thornton na Jolie walifunga ndoa mwaka 2000 na kuachana miaka mitatu baadae.
0 comments:
Post a Comment